Msaada juu ya Laptop's display.

Msaada juu ya Laptop's display.

Kwetu Mz

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
21
Reaction score
3
Nina Dell laptop latitude E6410, nimeweka window 8.1 , nilikuwa natumia vizuri lakini ghafula imezima display. Nilipoizima na kuiwasha tena, imebadili maandishi na kuanza kuonyesha ya rangi ya purple na picha zote + videos hazionekani ( inaonyesha black).

Naombeni msaada wadau!!!!!
 
inawezekana pia ikawa ni gpu, umejaribu kuconect na monitor?
 
Back
Top Bottom