Msaada: Kwa Wataalamu wa Mambo ya Networking.

Msaada: Kwa Wataalamu wa Mambo ya Networking.

Emmado

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
225
Reaction score
279
Naomba kujua jinsi ya kubypass untangle web filter.. Nipo porini halafu net ya hapa camp wameifunga hata kuingia whatsapp kwa simu huwezi so na ukizingatia hakuna ata cellphone coverage so yani tupo kama shimoni.. Mawasiliano hapa ni kwa email tu na kufungua fungua blogs na website ambazo hazina mambo ya kudownload.. Au videos kama youtube na n.k. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom