Naombeni mnijuzi Nokia ya android

Naombeni mnijuzi Nokia ya android

Joweba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
166
Reaction score
87
Wakuu!

Eti ni Model gani ya Nokia ambayo ina support mambo mengi kuhusiana na internet na social networks!

Mfano intagram, what's app nk.
 
Nokia lumia zina kila kitu, ila kama unachotaka ni instagram tu na whats app hizo program mbona hata kwenye Nokia asha zipo?
 
Nokia lumia zina kila kitu, ila kama unachotaka ni instagram tu na whats app hizo program mbona hata kwenye Nokia asha zipo?

asante Jimena, ila wewe!
 
Back
Top Bottom