Jemsi
Senior Member
- Mar 22, 2012
- 149
- 19
Habari zenu wana jukwaa,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, naomba mwenye uelewa anisaidie. Nina PC nikiingia internet niki scroll page ina stack kama sekunde 10 ndio ina move up. Naomba mwenye ujuzi kwani nachukua muda sana kusoma habari zilizopo kwenye internet.
Natanguliza shukrani