Msaada: Wataalaamu wa excel

Msaada: Wataalaamu wa excel

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
6,547
Reaction score
4,965
Nimeweka data column A na B column C nimeweka formula ya average nataka nikopy hiyo formula kwa Ku-drag ili ninapo ingiza data column A na B inipe average column C lakini haileti average. Nifanyaje?
 
Jaribu kukopi file zima, usidrag copy file lote kisha paste kwenye new page then futa column a na b, C itajifuta yenyewe na fomula itabakia
 
Kama ni average basi formula ikae kwenye hizo columns A & Bana si vinginevyo
 
Jaribu kukopi file zima, usidrag copy file lote kisha paste kwenye new page then futa column a na b, C itajifuta yenyewe na fomula itabakia

nimefanya hivyo.lakini kila nikiingiza data column A na B hailet average mpaka niandike formula upya kila cell
 
Back
Top Bottom