Nifanyeje ili Nisipigwe BAN na WhatsApp

Nifanyeje ili Nisipigwe BAN na WhatsApp

Rangoo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
99
Reaction score
114
Hello Guys.. Mwenzenu imepita Kama Week sasa Toka WhatsApp Inipige BAN .. Na Sababu kubwa Ni Kutumia Third party Application ya WhatsApp Plus...

Nikaamua Kuchange Namba Tu na Kutumia Nyingine..

Sasa Tatizo langu Ni Kwamba Mi Hii Official WhatsApp yao Siipendi Napenda Kutumia WhatsApp Plus.. Nitapata ipi Nzuri ambayo sitoweza kupigwa BAN ..

Msaada Wenu Please
 
dawa ya ban ni kutulia tu kweny official. .

ila kuna gbwhatsapp , enwhatsapp, yowhatsapp zenye ant ban ..ila hakuna guarantee ya kutopigwa ban kwa 100% kwa kutumia hizo whatsapp..
ingia onhax.net utapata mod tofauti.
 
Thanks Sana Mkuu
 
Back
Top Bottom