The_dexter
Member
- Aug 22, 2015
- 67
- 33
Nina iphone 6 lakini inalock, naomba msaada wa mawazo kama inaweza ikafunguka. Nimeletewa na ndugu yangu kutoka south afrika alinunua kwa muuni tu.

Kwanini asi iunlock huko huko south ?