Msaada motorola verizon

Msaada motorola verizon

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
313
mi sio mtaalamu wa Masuala ya simu,nimeipenda sana hii simu nataka nijichange niichukue;android version ni 4.4.4 na kernel version ni 3.442-gdb5a4c6 na system version ni 24.13.2.obake-maxx_verizon.Verizon.en.Us.Je inaweza kua inapiga mzigo vizuri??
 
verizon ni mtandao wa marekani na unatumia CDMA na sio GSM kama huku kwetu, hivyo asilimia nyingi hio simu haitafanya kazi huku unless iwe na band za GSM zilizojificha.
 
Nina Motorola droid max na Motorola droid RAZR , zote ni Verizon. Nazitumia hapa kwetu Tanzania, na zina support gsm.

Mkuu ondoa shaka
 
Nina Motorola droid max na Motorola droid RAZR , zote ni Verizon. Nazitumia hapa kwetu Tanzania, na zina support gsm.

Mkuu ondoa shaka

Pamoja mkuu ngoja nijikusanye nimeipenda sana hi I simu
 
Back
Top Bottom