danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
Simu yangu ni VODAFONE VF 685, Baada ya kuweka rom mpya kwenye hii simu yangu, imekuwa ikishindwa kuunga 3G pia nikipiga simu haisikiki mpaka niweke loudspeaker, nawaomba wadau wa haya mambo kama kina chief mkwawa na wengineo mnipe solution ya hii inshu au wapi naweza pata stock ROM labda tatizo litakwisha.