Msaada

Msaada

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,750
Reaction score
12,475
wandugu nahitaji baadhi ya icon zisionekane nikifungua menu yangu so naomba mnijuze app ya kufanyia hivyo kama ipo kwa device ya android, maana huyu janja yeye akishika tu anakimbilia kwenye game, shukriya!
 
Ungetaja na aina ya simu maana nyengine unaweza fanya hivyo bila kudownload chochote
 
Samsung Galaxy On5
Una share na samsung? naona fasta fasta umeipata simu

hide-apps-on-galaxy-s3.jpg


Jaribu kwenye apps zote bonyeza menu button kama ipo au kama haipo bonyeza vidoti vitatu pale juu halafu ikija menu chagua hide application then chagua za kuhide click ok
 
Back
Top Bottom