it is almost imposible to get your stolen phone especially android,maana aliyeiba ni mpaka awe anatumia email yako vile vile ulivyoiacha yani hajafanya hard reset na pia android device manager iwe on na awe amewasha data kama sivyo hutaipata mkubwa
nunua tu simu nyingine kama una uwezo
inawezekana mkuu.., Nenda polisi fungua kesi
ukishapewa mpelelezi mwambie akuandikie barua mtaipeleka naye kwenye watoa huduma za mawasiliano kwa ajili ya kupata taarifa ya hiyo simu
cha kuzingatia niwewe kushirikiana na mpelelezi wako naye awe ameshawahi kushughulikia kesi kama hii
Ila kama aliyeiba kabadili imei hutoipata Ila ni wachache wanaowafanya hivo
usipoelewa kitu nichek pm
Kubadilisha imei # inawezekana vipi?