Msaada

Msaada

yantuzu

Senior Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
115
Reaction score
16
Habari za kazi wakuu!
Kuna kazi nilikuwa naiandika kwenye komputa, nilikuwa naisave kwenye flash so haikuwa na backup file lolote. Kuna wakati nikazima pc ili baadaye nije kuendelea na kuandika, nilipoingiza flash na kuifungua ile document ikagoma. nikikomand kufungua kuna window inafunguka inaandika "File Conversion - ANNUAL.doc" " Select the encoding that makes your document readable."
"Text encoding:"
?Windows (Default)
?MS-DOS
?Other encoding:

Than preview zinafunguka herufi za ajabu ajabu, nimefanya kila namna lakini haifunguki, naombeki kama kuna namna mnisaidie ndugu zangu maana nimesweat balaa na hii kazi.
Aksante.
 
Unatumia word ya mwaka gani? Ukifungua hakuna recent document ambazo zimekuwa autosaved?
 
Natumia word 2007, hizo autosaved docs zipo kule kwenye recent ila nazo nikizifua zinafunguka sama way Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom