IPI simu nzuri kati ya tecno L6,tecno j7, na sumsung Galax s3

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Ndugu wana jamii forum naomba mnisaidie wenye kujua ,nahitaji simu nzuri kati ya tecno j7, L6 na sumsung Galax s3, IPI ni nzuri na je sumsung galaxs3 nitapateje original ama origino ntaijuaje. Asanteni
 
Galax S3 ni nzuri kwa sababu zifuatazo
Ni imara
Ni ya kisasa zaidi
Ram yake ni kubwa
Resale yake ni uhakika
 
Ndugu wana jamii forum naomba mnisaidie wenye kujua ,nahitaji simu nzuri kati ya tecno j7, L6 na sumsung Galax s3, IPI ni nzuri na je sumsung galaxs3 nitapateje original ama origino ntaijuaje. Asanteni

check hii halaf angalia hivyo vitu vyote viko sawia km camera,color,vibration nk

*#0*#
 
Kufananisha SAMSUNG na TECNO ni sawa na kufananisha FARU DUME FC na REAL MADRID
 
S3 ni nzuri kuliko zote hizo mbili ila inabidi kuwa makini sababu nyingi ni used na zimechoka hio ni simu ya mwaka 2012.

Kujua original download app inaitwa cpu-z ipo playstore halafu angalia soc yake kama ni exynos au snapdragon ni original na kama ni mediatek ni mchina
 
Ndugu wana jamii forum naomba mnisaidie wenye kujua ,nahitaji simu nzuri kati ya tecno j7, L6 na sumsung Galax s3, IPI ni nzuri na je sumsung galaxs3 nitapateje original ama origino ntaijuaje. Asanteni

Tecno L6 bomba nimetoka bb passport na kutua hapo, lakini sjui utaipata wapi? Labda uje nikkuzie hii nayotumia.
 
S3 ni nzuri kuliko zote hizo mbili ila inabidi kuwa makini sababu nyingi ni used na zimechoka hio ni simu ya mwaka 2012.

Kujua original download app inaitwa cpu-z ipo playstore halafu angalia soc yake kama ni exynos au snapdragon ni original na kama ni mediatek ni mchina

Mkuu Chief Mkwawa
193001 Galaxy Neo Ya 2014 Inafanana Ubora Na Hiyo Ya 2012?

Tafadhali Msaada Wako Hapo.
 
Mkuu Chief Mkwawa 193001 Galaxy Neo Ya 2014 Inafanana Ubora Na Hiyo Ya 2012? Tafadhali Msaada Wako Hapo.
Kila moja ina uzuri wake kidogo, ya 2012 ina processor nzuri kidogo na ya 2014 ina ram kubwa kidogo. Ila kama nanunua simu ningenunua ya 2014 sababu hardware zake ni za kisasa na hazijachoka.
 
Shukrani Sana Kwa Ushauri Nzuri Wa Kitaalam
 
Back
Top Bottom