Msaada: Nataka kuzuia baadhi ya SMS zisiingie

Msaada: Nataka kuzuia baadhi ya SMS zisiingie

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,148
Reaction score
1,851
Kwa anayefahamu application yeyote nzuri ya kuzuia SMS zisiingie naomba anielekeze! Ila izuie kwa ile no ninayoitaka isizuie SMS zote! CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Hamia iphone unablock namba hapohapo utasahau kusikia simu au mesage ya hy namba
 
Pakuwa app inatwa calls blacklist ina icon ya ngao nyekundu itakusaidia.
 
Kwa simu zenye version ya lollipop 🍭 ni rahisi ingia youtube andika lollipop 🍭 trick utaon ni easy sana sio kila kitu iPhone
 
Back
Top Bottom