Tyre changing machines.

Tyre changing machines.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Habari. Nataka kufungua ofisi ya kuziba pancha tairi za gari, hivyo ninaomba kufahamishwa kama naweza kupata mashine za kubadilishia tyre, wheel balance machine na mashine nyingine muhimu kwa kazi hiyo kwa hapa nchini na gharama zake . Asante.
 
Back
Top Bottom