Bariki Blessy
Member
- Nov 5, 2015
- 16
- 3
habari za saa hizi waungwana
Nina simu ya Huawei memory yake ya ndani ni ndogo sana sasa nimekuwa niki download apps na kuziweka kwenye memory card lakin baada ya muda memory card zinakuwa hazisomi tena nimejaribu kama memory card tatu tofauti na zote zimekufa kwahiyo nilikua naomba kwa wanaojua kama kuna madhara yeyote endapo uki install apps kwenye memory card