Msaada: Namna ya kuongeza RAM ya smartphone

Msaada: Namna ya kuongeza RAM ya smartphone

zaitmemee

Senior Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
186
Reaction score
40
Habari wana JF


Natumia smartphone ya tecno Y3, ina RAM ya 512MB. Simu nmeshairoot. kwa sasa nataka RAM ifike walau mpaka 1GB. nakaribisha maoni yenu wanajamvi,
 
Nunua simu ingine yenye uwezo huo au irudishe kiwandan wakaimodify
 
Back
Top Bottom