Msaada jinsi ya kutoa icloud kweny iphone 5

Msaada jinsi ya kutoa icloud kweny iphone 5

Kama umeokota mtafute rudishie mwenyewe,, utapata dhawabu kwa father God.,, kama ya wizi... Soo unakamatwa... #thinkwise
 
Hakuna ujaja hapo mpaka upate password yako ndo watakusaidia hapo mafundi wa iPhone ......Kama umrnunu mwambie akupe password Kama sivyo......utaangaika sana
 
Kaka naomba ni pm nahisi ni sim yangu
Imepotea nna week ya3 sasa. iPhone 5s. Please
 
No I'm not joking, I'm very serious
It means so much to me
Nitakulipa kaka

Mkuu na kama ameinunua unamrudishia hela yake aliyonunulia.... Mtajie password ya i cloud ikitoka basi yako....
 
Mkuu na kama ameinunua unamrudishia hela yake aliyonunulia.... Mtajie password ya i cloud ikitoka basi yako....

Mkuu siwezi mpa password yangu ila pesa ntarudisha
 
Sara Ni Ya Rang Gan Na Uko Mkoa Gan Unaeza Sema Yako Kumbe Mwenzako Yuko Machakos Kenya
 
Last edited by a moderator:
Sara Ni Ya Rang Gan Na Uko Mkoa Gan Unaeza Sema Yako Kumbe Mwenzako Yuko Machakos Kenya

Ha ha ha! Ndio raha ya mitandao, mtu anaweza kuwa Namanyere akamkomalia aliyeko Hong Kong kuwa kaokota simu yake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom