Laptop nzuri kwa kufanya kazi za graphics

Pangah2011

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
260
Reaction score
218
Aina gani ya laptop ni nzuri kwa kazi za graphics au gaming?
Mambo gani yakuzingatia au spec zipi zinazo faa?
Bei inaweza ikawa shilingi ngapi kwa used and new?

Mwenye uzoefu na mjuzi anijuze.
 
Nimenunua Lenovo Y50-70 touch mwezi uliopita kwa USD 1200

Processor: Intel Core i7Memory: 16 GBHard Drive: 1TB + 8BG SSHDSize: 15.6inchResolution: Up to 3840?2160Graphics: Nvidia GTX 860M
 
Laptop nzuri ila dahhh price yake kwangu hatari.
 
processor mpya za intel sasa hivi wametoa real quad core ya i5, miaka yote i5 zinakuwa dual core hivyo atleast sasa hivi unaweza kurecomend i5 kwenye gaming/3d/graphics/video editing

processor yenyewe ni i5 6300hq.

so far laptop ya bei rahisi inauzwa around dola 750 ikiwa na nvidia gtx 960m

hope kwa baadae zitatoka laptop za bei rahisi zaidi zisizo na nvidia graphics na hio processor. itakuwa ni dream laptop kwa chini ya milioni 1.
 
So for time being naweza kupata laptop ya spec zipi kwa laki 5?
 
Back
Top Bottom