Msaada king'amuzi cha Dstv

Msaada king'amuzi cha Dstv

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,151
Nimetoka safari nimekuta king'amuzi hakionyeshi channels zaidi ya ile ya matangazo nashindwa kuelewa kama ni watoto wamechezea au upepo umeyumbisha channels maana naambiwa ilinyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo, msaada tafadhari!
 
Back
Top Bottom