Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

zimefutika hazipo ila kuna siku zilifutika baadae zikarudi zenyewe nini tatizo kwa wanaoelewa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naskia Netflix sasa inapatikana Tanzania, Swali: Je, ipo kama cable TV au ni kwa Computer devices pekee? Karibuni kwa michango..
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Ninahitaji kuchapisha stickers kubwa kwa ajili ya kubandika kwenye magari ya biashara ili yawe yanatangaza biashara yangu yawapo barabarani (ni magari madogo mawili yaani Noah...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wataalamu, nina modem yangu ya zantel line imepotea, je kuna uwezekana wa kuiflash itumie laini zote?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu waJF..! Plz naomba kujuzwa gari hizi zina ukubwa wa Pistons ngapi @..? Je, ni vitu gani vinaweza kumsaidia mtu kujua idadi ya Pistons ktk gari fulani..? a. Toyota Voxy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu..., Ni wapi naweza kupata mashine ndogo ya kutoa copy(photocopier) kwa bei nafuu?? Hiyo mashine iwe; *Inatoa copy pande mbili *Inafanya kazi kwa haraka *Isiwe na scanner.(kwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hello guys.. Naomba kuuliza, Katika technology ya kileo kuna uwezekano wowote wa kubadirisha video zilizo katika mfumo wa VHS (yaan ile mikanda ya kizamani) kwenda katka mfumo wa CD au DvD...?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo waungwana! Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu, nahitaji msaada wa mwenye kujua kama kuna teknojia ya kubadilisha video zilizomo katika tape za VHS na kwenda katika DVD...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naombeni jaman mwenye kujua link nzuri ili niweze kupakua philipino movies
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Twitter ni mtandao wa kijamii wa pili kwa ukubwa duniani. Maarufu kwa meseji zake zenye maneno 140 tuu zinazojulikana kama ‘Tweets'. Twitter ilianzishwa mwezi Machi 2006 na katika kipindi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
naomba msaada wa ku-unlock mordem ya vodacom;huawei E303
0 Reactions
7 Replies
602 Views
Nina laptop yangu aina ya Toshiba satellite betri lake limeharibika siku c nyingi kwahiyo natumia moja kwa moja toka kwenye umeme. Sasa hivi imekuja na tatizo jipya ambalo ni kuzima ghafla lakini...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nina Laptop aina ya hp compaq 6720s nikiplug charger pale kwenye tundu la kuwekea panawaka kama vicheche nikijaribu kuwasha haiwaki nisaidieni sijui tatizo Na nifanye nini?
0 Reactions
1 Replies
741 Views
wakuu msaada wenu unahitajika nime nunua domain nahitaji kuitumia kwenye blog yangu ni fanyaje ili niitumie badala ya url ya google blog
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina Lumia 520. Hii Simu Ina matatizo kadhaa. 1. Nikiweka line ya airtel haisomi 3G licha ya kuweka maximum speed katika settings kuwa 3G. Huku kwa mitandao engine with same settings simu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nahitaji msaada kuhusu hii "app runtime for chrome", ni kitu gani na ufanyaji kazi wake ukoje etc. Nimeiona kwenye thread flani hivi ila sijaielewa. Nataka kutumia Whatsapp kwenye PC yenye CPU ya...
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Habari wakuu, naomba msaada kwa anayejua code ya kusoma bar code au QR code kwa kutumia either PHP au JAVA.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia r5 tecno zaman havikuwepo hivi vitu..(timeservice na monkeytest), nini chanzo chake na je hutolewaje. Natangulza shukran
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…