Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wapendwa wana jf nina computer yangu dell latitude inaleta rangi rangi kama mawingu kwenye monitor mpaka nashindwa kuendelea na kazi zangu kwenye computer yangu. Jamani msaada tafadhari wana janvi
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Una sim na unawaza ufanyaje ili isipotee?/ ama ikipotea ipatikane? Umepoteza sim na unawaza ufanyaje ili kuipata? je umepata sim yako ambayo uliipoteza ila hujui uanze kufanya kipi majibu yote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikua natumia kaspersky kwa window 7 gharama zikanishinda kwan inakaa kwa mwaka tuu ina expire nikahamia avast sasa hii ni nzuri kwani ni forever elf15 tuu wa enjoy milele 99yrs of expiration...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Wengi wanapata shida wanapotaka kununua sim mkononi kwa mtu kwa sababu za uaminifu na related concepts. Well leo nakuja na jibu/ solution ya hii. Ukimaliza kusima hapa nakuhakikishia utakua expert...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari zenu jaman Msaada,,. Jinsi ya kufungua email iliyojifunga.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Narudia hakuna anaopenda upoteze sim ila hii hutokea kama ajali. Zifuatazo ni mbinu simple za kupitia ili kulinda sim yako endapo itapotea.
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii ni simple ila inaweza ikashangaza sana rafiki zako. Huitaji noledge ya IT kufanya haya Grab your laptop na fuatana na mimi katika hii short video. Mwisho wa siku naamini utakua na majibu...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Habari zenu humu jf naombeni msaada wa application ambayo huweza kunibadilishia maandishi kwenye icon yaani Screen icon menu kuwa na muonekano tofauti wa kimaandishi napendelea hasa ule mnyorongo...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Bonyeza hapa Nishauri kuhusu field Bonyeza hiyo link hapo juu tafadhari
0 Reactions
6 Replies
848 Views
wakuu habarini kwanza, nina shida kwenye simu yangu aina ya samsung galax hivi karibuni imeanza kuonesha kuwa imejaa huku kuna nafasi bado kubwa tu ya kutosha nikaamua kufuta kila kitu hadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
je,wewe ni muhitaji wa account ya adsense alikini umekuwa kila ukifanya aaplication unakataliwa,tafadhali ninauza account ambazo zipo tayari unachukua na kauanza kupiga pesa. pia tunauza...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
habari wadau. Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nahitaji Galaxy S4 genuine kabisa (black or blue). Isiwe clone wala isiwe fake na isiwe used. 16 Gig. mwenye kufahamu duka lipi naweza pata dar...
1 Reactions
0 Replies
727 Views
Smartphone ipi ina run vizuri hd games like GTA SA, Modern Combat or any other heavy games na iwe super kwenye Internet na budget yangu ni 300,000/- iwe imara maana nitakaa nayo mda mrefu
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada toka wiki iliyopita kila nikiingia internet kwa laptop inagoma kabsa sielewi tatizo nini inaandika" connection lost remain offline"
0 Reactions
2 Replies
890 Views
habari ya asubuhi wakuu. Nimedownload irfanview na kuinstall nikadownload riot plugins lakini kila nikijaribu kuresize picha inaniletea pop up inayosema "cant load plugln RIOT.DLL please install...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Habari zenu wakuu. Ama baada ya salaam.................naombeni msaada kama mada inavyojieleza hapo juu wakubwa kuhusu app nzuri ya fonts kwa simu yangu wadau. Simu niliyonayo hapa ni HUAWEI...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Anaeweza kuinstall,na manuva mengne kwa chromebook anifanyie.ntamlipa.npo dar.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni wengi tumekuwa tukukutana na tatizo hili la written protection pale tunapotaka kutumia flash au memory card zetu hasa kwenye computer. Hii inamaanisha kuwa hiyo flash au memory card imewekewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kumekuwa na ongezeko kubwa la simu za android ambazo zinatoka nchini china. watu wengi wamekuwa wakishindwa kuzifanyia hard reset simu hizi kutikana na lugha ambayo hujitokeza baada ya kujaribu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili jambo la udukuzi wa taarifa za wateja kupitia mashine za ATM za baadhi ya benki nini hasa chanzo,uduni wa teknolojia za benki ama nini hasa? je watu hawa hufanikishaje zoezi hili hadi kuweza...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…