Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI
-NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu
Tupige kura Tuzo ije...
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Sent...
Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile.
Printer mpaka inatambuliwa na...
Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata:
1. Badilisha nenosiri mara moja:
- Ikiwa bado unaweza kuingia...
Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
Nina email yangu na password ila namba nilofungulia sina, sasa nahitaji kurudisha account yangu ya google nafanyaje maana nikijaribu naambiwa nijaze code.
Kwa anayefahamu namna nyingine ya...
Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo...
Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako:
1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako...
Habari JF members,
Naomba kuuliza simu gani nzuri zaidi kwa picha nataka ninunue matumizi ni kupiga picha za biashara, budget 150,000 mpaka 250,000. I prefer used phones.
Internal iwe kuanzia 64+.
Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri...
Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa...
Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile.
Hata hivyo...
Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels...
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya...
For two years, my Netflix password has been: tricke22ry-notiLonal-freely-soSak-lice-slacken. Yes, really. It is a strong, unique password, and it ticked boxes to reduce the chances of me getting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.