Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

  • Question Question
Msaada jinsi ya kufungua game kwenye Ps2 kutoka kwenye flash unabonyeza batani gani na gani???
2 Reactions
0 Replies
499 Views
Wazee wa JF. Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus. iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Teknolojia hii ya utengenezaji wa screen za TV ilianzia zamani miaka ya 1950 lakini matumizi yake yameanza miaka ya 2010 kama zilivyo teknolojia nyingi ambazo huchukua miaka hadi kufanyiwa kazi...
11 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu.. Nahitaji kununua Flat Tv -32 inch .. ila naombeni ushauri wenu ni Tv ya kampuni gani ni nzuri kwa sasa kununua na ni vitu gani vya kuzingatia sana wakati na nunua . kwa...
3 Reactions
43 Replies
19K Views
Philips walitoa pasi kali sana durable ya rangi ya kijivu nyepeeesi ila sio mchezo kiutendaji. Haijawahi tokea pasi kali kama hii Tanzania. Uzi tayari.
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Leo nimeamka katika pita pita zangu za kusoma na kupata vitu vipya katika maswala ya akili mmnemba nikagundua kwamba kupitia ChatGPT sasa unaweza kuongea nayo na ikakujibu kila aina ya swala...
0 Reactions
8 Replies
591 Views
Hii ni balaaaa [emoji91][emoji91][emoji91] Call of duty modern warfare III Ni game mpya itakayoachiwa mwezi Septemba tarehe 10 mwaka huu, ni game inayojihusisha na upiganaji kwa mfumo wa mission...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta Software Ya Kuweza Kutrack Calls, sms,email Na Any Communicative Data Zinazoingia Kwenye Simu Ya Mtu Fulan. Nimeingia Play Store Na Kudowlod Kaadha Lakini Naona Ubabaishaji Tu So...
5 Reactions
30 Replies
17K Views
Wakuu mwenye kioo cha pixel 7 pro used au mpya nahitaji kununua. Anicheki kwa 0624373709
1 Reactions
3 Replies
803 Views
Habarini wadau wa Tech.. Naomba tushirikishane je ni site zipi za AI ambazo ni free kutumia, ambazo hauhitaji kulipia Asanteni
0 Reactions
6 Replies
511 Views
Ndugu wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya ijumaa muda wa saa nane dakika ishirini za mchana nilipokea ujumbe kutoka airtel wakinishukuru kwa kutembelea duka lao huduma za kwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa husika na mada tajwa hapo juu. jana nimeibiwa spika ya soundba yangu. sasa najiuliza je dukani naweza nikaipata hii spika au ndo hivyo tena ?imepotea mpaka ninunue soundba...
0 Reactions
8 Replies
446 Views
Nimedownload movie zenye 4K kwenye laptop ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb. Naombeni muongozo Cc: Chief-Mkwawa
1 Reactions
8 Replies
543 Views
Wakuu, salaam Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality? N.B: Exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
  • Question Question
Kuna uwezekano wa kufuta taarifa zangu zote kwenye internet isomeke sijawahi kutumia internet kabisa?
3 Reactions
10 Replies
488 Views
Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi 1. perfomance 2. Hosting cost 3. Maintenance Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria...
72 Reactions
456 Replies
83K Views
Watu wengi wanalalamika speed ya kubrowse ni ndogo, hawezi kuangalia video online, wengine wakipiga viber japo speed kubwa lakini hawasikilizani, kuna wengine video chat na hata wacheza magame...
40 Reactions
76 Replies
21K Views
Nilifata meseji kwenye inbox yangu ya gmail sasa nataka kurudisha maana kuna attached document nazitaka sana
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Back
Top Bottom