Habari za Asubuhi ndugu zangu,
Najaribu kulog in kwenye Gmail yangu ya zamani lakini sikubuki password na namba ya simu niliyo tumia zamani haipo Tena kwa hiyo nikiomba rest PIN NUMBER...
Wakuu nataka nifungue account huko sasa inagoma pale kwenye kutuma verification code, je, hapo nifanye ujanja gani wakuu?
Kama kuna mtaalam msaada please.
We are looking for a software developer and a data engineer who can perform the following functions
*Design and implemented ETL pipelines for processing low-resource language data(Yoruba)
●...
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri.
Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
ENDAPO ikitokea kampuni, mtu au taasisi yoyote duniani itayobuni kifaa cha mkononi mfano na simu(phones) (Smartphones) kitachokuwa na uwezo wa kutumika Katika mambo ya internet tu Bila kusupport...
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika...
Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search...
Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile.
Printer mpaka inatambuliwa na...
Habari wajameni,
Sisi low income earner tuko na changamoto sana ya kutaka vitu vizuri na imara at affordable price,, btw kila mtu anapenda vitu vizuri mazee.
Sasa basi, ukiachana na brand Tajwa...
Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake.
Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza...
Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech.
Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira...
Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi:
1. Usalama wa Mtandaoni:
- Tumia nywila (password) ngumu na salama.
- Epuka kubonyeza...
Jamani natamani ku-m pm mtu fulani lakini sijui huwa mnatumia e-mail address au huwa mnatumia nini? na unafanyaje ili uweze ku pm mtu sijui chochote msaada jamani
Habari wakuu, naomba ushauri kidogo kwa yeyote mwenye uzoefu wa hizi TV za TCL
Kuhusu ubora, uangavu wa picha, pia changamoto zake.
Kuna jamaa anataka aniuzie inchi 32 kwa 270000. Atakuwa...
Yaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida.
Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa...
Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi PES hasa uwepo wa UEFA champions league, bado FIFA haikuti PES, kwa mtazamo wangu.
Wewe unaikubali ipi?
===
Maoni ya wadau:
Mimi still ni fan...
Unaponunua kompyuta, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Hapa ni mambo machache ya msingi:
1. Matumizi yako: Fahamu unataka kutumia kompyuta...
Wakuu naomba mawazo yenu.
Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power.
Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe...
Habari wanajukwaa!
Nimekutana na simu aina ya Docomo s20 5g, baada ya kuulizauliza kwa baadhi ya wadau nimeambiwa hizi simu za Docomo zinatengenezwa na kampuni ambayo hapo awali ilikuwa ikifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.