Tatizo la simu yangu kutotuma sms msaada tafadhali

Mboju

Member
May 4, 2021
16
45
Habari wanajf. Simu yangu haitumi sms but naweza kupokea sms. Kila nikituma inasema failed. Sijajua tatizo nataka kuona kama message center number ni tofauti kwani kwangu inasomeka +25575114.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,932
2,000
Habari wanajf. Simu yangu haitumi sms but naweza kupokea sms. Kila nikituma inasema failed. Sijajua tatizo nataka kuona kama message center number ni tofauti kwani kwangu inasomeka +25575114.
Reset hiyo laini kwenye menu yao wana option ya kucheck tatizo na kuireset! Ila njia ya haraka wa check WhatsApp watakutatulia chap tatizo lako.

Kingine angalia app unayotumia kwa sms kama ni stock unaweza kujaribu za playstore zile third-party applications kama Google Messager, Mood Messager n.k
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom