Hello I am a blogger as you are, we online people most of our time we are on our laptops working, so having a side friend to share ideas and having fun with while working it makes things easier...
Hello WanajF Tech, naomba mnisaidie hili suala mbele yenu niko na Samsung A04S nina takribani mwezi sasa nikitaka kupiga Picha napewa notofications Warning Camera Failed nimejaribu Kugoogle sana...
Wakuu za majukumu.najua hamjambo,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nilinunua simu aina digit4g energy kutaka vodacom lakni yenyewe ni smart kitochi.
Sasa simu hii lazima uweke laini ya voda ndo...
Wenye Camera zao, leo tarehe 19 September wamezindua action camera ya huu mwaka, Action 5 Pro.
Directly itaenda ku compete na Flagship ya action camera ya Hero GoPro 13 Black iliyozinduliwa...
wakuu habarin , wapi naweza pata smart kitochi? nahitaj simu ya batan ndogo yenye uwezo wa internet na WIFI ya 3g au 4g kama ipo, nimechoka kutembea na router kila wakati..
Habari za mchana wakuu. Samahani kila ninapo install Microsoft office 2007 kwenye kompyuta yangu naletewa huu ujumbe " Microsoft setup bootstrapper has stopped working".
Nimejaribu kubadili setup...
Habari wana jamvi. Kutokana na changamoto ya gharama za vifurushi tunaelezwa kuwa angalau tukitumia router inapunguzakwa kiasi fulani.
Sasa naomba kujua router (MiFi) ya kampuni gani ni nzuri...
Akili mnemba (AI) inafanya kazi kwa kutumia mifumo ya kihisabati na michakato ya kompyuta inayoweza kufuatilia na kuchambua data nyingi kwa haraka. Hapa kuna vipengele vya msingi vinavyofanya...
Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21),
Hatimaye FBI yafanikiwa...
Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila...
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa...
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
IOS 18 is out now
Kwenye hii nakala nitakuonesha kwa ukamilifu kabisa jinsi ninavyoweza kutengeneza websites zenye mvuto (kama hiyo apo chini) bila ujuzi wowote wa lugha za kompuyta (programming languages) na pia...
Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo...
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu...
Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.