The future of pizza is here!
Fastfood pizza chain Domino's has turned a military robot into a pizza delivery droid — and it's fairly adorable. The robot has claimed the title of the "world's...
Wakuu, kuna mtu yoyote bado anapata digital channels (FTA) through tv zenyewe internal receivers (bila kutumia king'amuzi cha nje) kwa wale waliokuwa wanazipata hapo awali.?
Kwangu zimepotea...
wakuu hapa Tanzania wengi tunajua malipo ya DSTV yalivyo juu PREMIUM ni TZS. 200,000 Lakini South Africa ni TZS. 91,081 So ni very cheap sana.
Swali nikinunua decoder hii south Africa na ku...
nmeflash tecno boom J7 na stock rom ilipowaka ikawa haina imei namba nkawrite imei namba kwa kutumia mobile uncle, ikakubali lakin nlipoweka line ina niambia SIM LOCK(insert MTN SIM) sasa naomba...
Ndg wanajf, kama heading ilivyo, naomba kufahamu jinsi ya kuset call barring hasa za incoming calls kwa line za airtel au vodacom. Natumia android smartphone.
Ahsanteni.
I would like to explain in brief about cellphone repair I will start by explaining the deference between flashing and unlocking. I think we should start learning these words SP lock means...
Habari wakuu, ninaomba kujulishwa nini kinachosababisha simu kupata moto kipindi unatumia, mfano Mimi nikiwa natumia simu yangu kwenye mambo ya internet kama WhatsApp, Google,Instagram na vingine...
wakuu habari za saa hizi?
naomba msaada pc yangu inashindwa kuingia kwenye accout yangu ya facebook lakini nikijaribu account nyingine za facebook tofauti na yangu inakubali kama kawaida lakini...
Habri!naomba msaada jinsi ya kunlock huawei y530 sim unlock(network unlock) coz nimetry hadi dc unlocker ila sielewi elewi plz naomba msaada.natanguliza shukrani.
Wnadau natumia tecno phantom A 111. Kila nikitaka kudowload application zingine au kuupdate zilizopo inaniandikia insufficient storage. Chaajabu ni kuwa Ram used ni 782 na available ni...