wataalam nisaidie. dvd ya music au movie original inakubali kusoma kwenye hii deki. lakin ukiburn mp4(dvd ya mizik) inakataa kusoma. na vcd ya kuburn inacheza bila tatizo.sasa nii burn kwa foramt...
Heshima kwenu wadau, nina blog yangu ambayo ina miaka mitatu sasa na visitor wa kutosha. Nimejaribu kuomba msaada mara nyingi namna ya kuunga na google adsense bila mafanikio. Nimekuja kwenu hapa...
Wakuu habari,
Straight to the point hivi ni app gani nzuri katika simu ambayo inaweza kuzuia simu nnazopigiwa zisiingie kabisa kwenye simu yangu? Apps nyingi za kublock calls zinablock baada ya...
Kuna nyama moja ya Outlook hapa, email imetumwa kwenye conversation ya watu 8, ni mtu mmoja tu kati ya wale walioipokea email ndio ameweza kuona attachment ya word, wengine wote hawaioni. Tatizo...
Wakuu! nina moderm ya vodacom kwa ajili ya internet wakati sipo ofisini, lakini pia gharama zao zipo juu, sasa je ni provider gani ambaye internet is cheapest?
siku za nyuma kuna jamaa mmoja...
Nikifungua data inakuwa slow sana lakini mitandao mingine kama Voda na Halotel zina speed kubwa mno.
Nimewapigia customer care Tigo na Airtel wakanitumia configurations mpya lakini tatizo lile...
Hii kitu safi sana, naziset video zota nazotaka kushusha then naenda zangu kulala!
Personally natumia JDownloader JDownloader.org - Offizielle Homepage
=================
(Updated):
Video za...
Tafadhali, kama kichwa kinavyoeleza, anayeweza aeleze kwa urahisi wa kueleweka hapa, kuna meseji moja imefutwa lakini ninaihitaji sana. Unayeweza, tafadhali eleza.