mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Habari zenu wakuu, nimepata tatizo kwenye simu yangu siwezi kuandika text yoyote, msg za kawaida, whatsapp na chochote kinachoitwa msg, yaani nikiingia kwenye uwanja wa msg, niki click pale sehemu ya kuandikia msg keyboard haitokei, ila emoticons na vingine vinaonekana, nimehangaika nayo sana sijapata suluhisho, msaada wenu wa haraka unahitajika kwa anayefahamu nini nifanye, natanguliza shukrani za awali