Msaada: Jinsi ya Kupata "Cracked IDM"

Msaada: Jinsi ya Kupata "Cracked IDM"

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
Wadau,

Kama mnavyojua normal Internet Download Manager (IDM) kwa PC inakaa kwa 30days only then mpaka ulipie. Sasa najua hapa kuna wataalam wa kuchakachua, au wataalamu wa kujua vilivyochakachuliwa. Naweza kupata IDM iliyochakachuliwa ambayo haina mikwara ya sijui 30days??

Msaada please, Movie zinanipita wadau.
 
tumia uttorent kupata patch y idm!!
ipo torrent ko download huko
 
Wadau,

Kama mnavyojua normal Internet Download Manager (IDM) kwa PC inakaa kwa 30days only then mpaka ulipie. Sasa najua hapa kuna wataalam wa kuchakachua, au wataalamu wa kujua vilivyochakachuliwa. Naweza kupata IDM iliyochakachuliwa ambayo haina mikwara ya sijui 30days??

Msaada please, Movie zinanipita wadau.
Nenda www.kat.ph

Kuna hizo IDM cracked, lakini unatakiwa kwanza uwe ume-install utorrent downloader. Kuna programs nyngi sana free
 
Wadau,

Kama mnavyojua normal Internet Download Manager (IDM) kwa PC inakaa kwa 30days only then mpaka ulipie. Sasa najua hapa kuna wataalam wa kuchakachua, au wataalamu wa kujua vilivyochakachuliwa. Naweza kupata IDM iliyochakachuliwa ambayo haina mikwara ya sijui 30days??

Msaada please, Movie zinanipita wadau.

chukua hii hapa , HAKIKISHA UMETOA HIYO IDM YAKO YA ZAMANI ULIYOKUWA NAYO, PAMOJA NA FILES ZAKE ZOTE PAMOJA NA REGISTRY KEYS KABLA HUJAINSTALL HII -->Dropbox - idman619build7.exe..

hakikisha umeinstall latest Mozila (47) kuepuka usumbufu, pia unaweza ku update hiyo IDM endapo itakuuliza.

CHEERS.....
 
Ungeeleza namna ya kuitoa katika registry.
 
Back
Top Bottom