Mpapatu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 221
- 121
Habari za jioni wakuu, naamini Mu wazima naomba msaada nataka niwe na uwezo wa kuona channel nyingi za Michezo na nina Amin humu kuna wale wadau wa Satelite tv na ma dish please price na channels zip ntakazoona.
Natanguliza Samahani kwa Wale nitakao wakwaza shukrani.
Natanguliza Samahani kwa Wale nitakao wakwaza shukrani.