Kama title inavosema wakuu
Nataka kuwa developer mnaweza kunsaidia sehemu ya kuanzia
Kama kuna website au group Fulani mnaweza kushare nami.
Mungu awabariki🙏
Habari wana JF,
Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa?
Na je koding ipo sana kwenye hii...
Megabits vs. Megabytes: Understanding Your Internet Speed
Ever wondered why your gigabit internet doesn't download games at a thousand megabytes per second? The difference between megabits (Mb)...
Apple Iko karibu kuweza kutambulisha product yao mpya sokoni ambayo inaitwa wall- mounted display imeundwa kwa ajili ya kuweza ku control nyumba yako.
Kifaa icho kimepewa jina la code name J490...
Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found!
TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO?
NAOMBA KUWASILISHA
Kampuni ya meta imetoa ripoti inayoonyesha Kuna akaunti za watumiaji wengi wa Facebook ambao ni marehemu wamekufa ila bado akaunti zipo na zinafanya Kazi.
Ripoti iyo inaonyesha zaidi ya watu...
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Hivi unajua unaweza kuongeza nafasi kwenye sd card (memory card) au flash drive kupitia kompyuta 😀!! Najua una shangaa relax 😁
Kuna program Moja ukifanikiwa kuwa nayo inakupa Uwezo wa kuongeza...
Nchi ya Japan inakua taifa la kwanza duniani kuweza Kutuma satellite ya mbao inaitwa "Lighnosat" imeundwa na chuo cha Kyoto university wakishiliana na Sumitomo forestry, ISS kupitia roketi ya...
Nlikuwa natumia Google pixel 3, nikachukua iphone 14 pro max aloo , camera ya Google pixel bado ni balaa, Iphone camera yake inahitaji sana mwanga ili itoe picha nzuri ila google pixel ni hapo...
𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗻𝗴𝘂𝗺𝘂 𝗸𝘂𝘃𝘂𝗻𝗷𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗮 𝗞𝘂𝗳𝗮
Kampuni ya infinix wakati tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 wao wameamua kutuletea toleo jipya la simu ya infinix Hot50i series' simu za bei poa zikiwa na...
Habari wana JF,
Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa?
Na je koding ipo sana kwenye hii...
Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa
Unaweza ukazani ni Tangazo...
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na...
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,
Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
The Power of Privacy: Less is More in the Digital Age
In an age where the average person shares over 1,500 pieces of personal data annually, have you considered the power of digital discretion...
Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania.
Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana.
Kama tulivyo na sports...
Nywila (Password) mara nyingi hulinganishwa na mswaki kwa sababu ya kufanana kwa jinsi inavyopaswa kushughulikiwa. Hapa kuna sababu:
1. Tumia Yako Mwenyewe
Kama vile mswaki, nywila ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.