Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kampuni ya Austin imetengeneza choo cha kisasa chenye kamera📸 kwa ajili ya afya yako 😲. Unaweza sema wamechanganyikiwa awa jamaa au lah lakini ndo uwalisia sasa. Teknolojia hiyo mpya inaitwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello JF, Nina vitu vingi vya kushare na ninyi pia mengi ya kuongea na ninyi wateja au wadau wote kwa ujumla juu ya kununua hivi vitu vya kieletroniki kama vile Tv, Home threater, pasi, na vitu...
0 Reactions
1 Replies
493 Views
PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu...
1 Reactions
6 Replies
588 Views
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google...
1 Reactions
1 Replies
822 Views
Habari ndugu zangu. Natumia iMac yenye iOS Monterey. Nauliza nawezaje kupata software za bure? Na je naweza kudownload software kutoka torrent?
0 Reactions
3 Replies
469 Views
Habari wana Tech wa JF? Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wana sayansi toka nchi ya kenya wameweza kugundua vijidudu wadogo wadogo ambavyo vinaweza kuharibu polystyrene, plastiki yoyote kwa usaidizi wa bakteria wa tumboni. Madaktari hao wamegundua...
2 Reactions
8 Replies
581 Views
Wasalaam wana tech, Kama tunavyojua uelewa wa computer bado sio mkubwa sana kwa watumiaji wengi wa kawaida, mambo ya virus & malware hayatiliwi mkazo sana na watumiaji, mtumiaji anachojali...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
𝗡𝗼𝗸𝗶𝗮 𝟯𝟮𝟭𝟬 𝗶𝗺𝗲𝗿𝘂𝗱𝗶 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗯𝗵𝗮𝗻𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗷𝗲 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗻𝘂𝗻𝘂𝗮 ?? Unakumbuka Ile simu original ya Nokia 3210 iliyoachiwa mwaka 1999. Hatimaye imerudi Tena kwa mara nyingine mwaka 2024. Simu hii...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi- 1-create users with different roles and permissions 2-add stock 3-sell stock 4-truck proft and usage 5-view and export...
3 Reactions
10 Replies
626 Views
5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za...
5 Reactions
2 Replies
646 Views
Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, nimeona niandike makala hii...
77 Reactions
162 Replies
49K Views
MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba. Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph. Mashabiki...
3 Reactions
6 Replies
569 Views
Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe...
6 Reactions
12 Replies
764 Views
Microsoft wameachia feature mpya kwa watumiaji wa windows 10 na windows 11 kuweza kuhamisha files lolote toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta bila waya, Unatumia mfumo wa wireless tu kuweza...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wa Best Telegram Book Bots 🤖, kidgo nachemka apa
1 Reactions
1 Replies
600 Views
Mwana YouTube wa zamani Jake Paul na bondia mashughuli Mike Tyson wamekua wakitishiana kitambo kuzichapa kuonyeshana mbabe nani toka July's 20 mwaka huu 2024 lakini pambano lilighailishwa...
2 Reactions
3 Replies
440 Views
𝗚𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗮 𝗧𝗲𝘀𝗹𝗮 𝗹𝗶𝗺𝗲𝘂𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝗻𝗻𝗲 😔 Watu wa nne wenye umri kati ya miaka 26 mpaka 32 waliweza kupoteza maisha kwenye jiji la Toronto nchi ya Italian Baada ya gari aina ya Tesla kuwaka moto baada...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom