Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salaam kwenu wote mnaopitia Uzi huu muda huu. NAOMBA msaada ni vipi naweza kuinstall app kutoka google na websites zingine ukiachana na play store. Maana nimejaribu Kila mbinu nimeishindwa Kila...
0 Reactions
8 Replies
757 Views
Kwa mara ya kwanza toka tanganyika na Zanzibar kuungana na kupatikana Tanzania Jana safari ya Kwanza ya treni ya umeme ya kisasa yenye kazi ya kusafirisha abiria ambayo inaitwa Electric multiple...
3 Reactions
2 Replies
530 Views
Baada ya JF kupotea kwa masaa 48 nilijikuta nikipita kwenye forum za wenzetu nikakutana na hii kutoka Nigeria nafikiri sio vibaya kushare na wenzangu: The past two years I've had the chance to...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
𝗨𝗺𝗲𝘀𝗮𝗵𝗮𝘂 𝗽𝗮𝘀𝘀𝘄𝗼𝗿𝗱 𝘆𝗮𝗸𝗼 Najua Kuna wakati unakuta umejiunga sehemu mbalimbali kwenye platform tofauti tofauti ukajikuta umesahau password zako ulizojiungia. Kwaiyo ndo mpaka nifanye kazi ya...
3 Reactions
1 Replies
707 Views
Yaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari ya muda huu wana jamvi la Jf? Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii, Mimi kwa upande wangu...
9 Reactions
202 Replies
21K Views
Tusichoshane. Mimi ni mwalimu katika shule X hapa nchini. Jana katika pilika pilika zangu za hapa na pale si nikajikuta nimevunja kioo cha kishikwambi changu nilichopewa na serikali ya chama cha...
10 Reactions
68 Replies
7K Views
𝗚𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗮 𝗯𝗮𝘁𝗺𝗮𝗻 𝗹𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 Wale wapenzi wa movie ya Batman Dark knight kama kweli mfuatiliaji wa movie za mtaalam christian Bale Kuna gari Yale aliyokuwa anatumia inaitwa Tumbler batmobile. Unaweza...
2 Reactions
0 Replies
219 Views
Ukiona umecomment mara Moja harafu ukaona umeletewa maneno ya English harafu juu upande wako wa kulia Kuna x au mkasi 😁 We bonyeza pale kwenye mkasi hiyo comment itakuwa imeshajiplace usirudie...
4 Reactions
9 Replies
367 Views
𝗠𝗮𝗮𝗷𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗽𝗶𝘅𝗲𝗹 Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana 😊, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
𝗠𝗮𝗮𝗷𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗽𝗶𝘅𝗲𝗹 Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana 😊, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
1 Reactions
2 Replies
900 Views
Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
0 Reactions
6 Replies
621 Views
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 Watumiaji wa simu za Samsung Galaxy mifumo Yao imedukuliwa na kusababisha changamoto kwa watumiaji wake. Processor ya Samsung Exynos imedukuliwa na wadukuzi na kuweka code...
4 Reactions
3 Replies
673 Views
Kama una mpango wa kudumu wa kupata dollar 100-200 kutwa kupitia app yako achana kabisa na google adsense[admob] wewe kiroho safi bila invalid wala pressure weka fb ads. Taratibu ndiyo mwendo...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet...
1 Reactions
3 Replies
515 Views
Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina...
15 Reactions
66 Replies
5K Views
Back
Top Bottom