Gamers only: FIFA Vs PES ipi unaikubali?

  • Thread starter Rapa Gentamycine
  • Start date

troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
4,745
Likes
4,242
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
4,745 4,242 280
Napenda pes coz ni mepesi yanakubali kwenye mashine nyingi za kawaida na bd graphic unakuta ni nzuri. But wanachonikera ni ile tabia ya mpaka uweke patch coz timu name, logo na jezi unakuta tofaut.


Hiyo nazungumzia kwa upande wa pc lkn.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,086
Likes
8,813
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,086 8,813 280
mimi still ni fan wa pes, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

nina week now nacheza pes 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.
wish Konami waje na kitu kama kile,
 
Rapa Gentamycine

Rapa Gentamycine

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Messages
238
Likes
652
Points
180
Rapa Gentamycine

Rapa Gentamycine

JF-Expert Member
Joined May 20, 2017
238 652 180
mimi still ni fan wa pes, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

nina week now nacheza pes 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.
wish Konami waje na kitu kama kile,
well said mkuu!
 
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
991
Likes
535
Points
180
Age
19
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
991 535 180
Me nitabaki fan wa FIFA siku zote hata kama hakuna UEFA
Pes wenyewe wanazingua karibu Team zote kubwa hazina majina yao halisi. hawa jamaa pes hawana leseni kwa team nyingi
Fifa ndo mpango mzima FIFA 18 inaendelea Journey Hakuna kutoka nje mzee
 
A

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Messages
1,106
Likes
762
Points
280
A

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2016
1,106 762 280
game la TFF lipo,simba na yanga zimo?
 
AbraDaVinci

AbraDaVinci

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
511
Likes
276
Points
80
AbraDaVinci

AbraDaVinci

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
511 276 80
fifa ndio wamejipanga vizuri lakini niseme ukweli tokea nipo daraxa 7 nilianza kucheza fifa ya ps2 nikaona control zake uhalisi kwa kila kitu mfano handball(kama mtu akishika lazima uwe foul) but still pes hakuna mpka now kwenye graphics pes wapo na konami hawa wajapani ni wazuri lakin sasa wameshindwa kushindana na fifa kutokana na tokea zamani fifa imekamilika karbu timu muhimu dunia mpka za afrika kama kaizer chief ila pes hawana baadhi ya timu na hata league ni chache na pia hizo timu ni chache zimewekwa majina ambayo kama hujui football backgroud huwez tambua kama (liverpool inaitwa meysdiey sijui ) wamejitaidi hizi version mpya kuanzia 17 tuu ila izo nyingine fans wa pes ni mashahidi.kuja kwa watengenezaji wapya wa fifa ni mwanga mzuri nimecheza fifa karibu zote ila fifa nzur hawatakuja kuitengeneza ni ya fifa14 cover ya messi.nawasilisha kwa wote wakuu fifafan
 

Forum statistics

Threads 1,212,850
Members 461,778
Posts 28,456,802