Nawezaje kutengeneza Internet?

Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

First of all lazima uelewe internet ni nini?
Ukishapata meaning utajua pa kuanzia
 
Yaani kwa mfano wewe ni mtaalamu umepelekwa vijijini ambako hakuna anaye jua kitu chochote kinacho itwa mawasiliano halafu wewe umepewa semina unaanza kuwauliza wao waanze kukuambia maana ya internet

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?

Mbona kama hili ni swali jingine tofauti na ulilouliza kwenye uzi wako?

Kwa jinsi ya kawaida simu ku-operate pasipo kuwa na bundle inawezekana kama umeunganishwa na wifi internet...

Pasipokuwa na wifi, basi italazimu simu ipate internet kupitia 2G, 3G, 4G au 5G na hii ina maana inabidi uwe na line ya simu ama iwe na pesa au iwe na bundle...

Hizo ndio njia halali, kinyume cha hapo labda utumie njia haramu...
 
Mpe VPN
 
At least hili ni jibu.Sasa mimi sijalishi ni haramu au halali nataka ni namna gani naweza fanikiwa kuoperate simu bila kuweka bundle

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kwa mfano wewe ni mtaalamu umepelekwa vijijini ambako hakuna anaye jua kitu chochote kinacho itwa mawasiliano halafu wewe umepewa semina unaanza kuwauliza wao waanze kukuambia maana ya internet

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Wao ndio walioleta hilo swali kwa hiyo nina haki zote waniambie maana ya hicho walichokileta ili niwafundishe au niwaambie kwamba hakiwezekani kwa sababhu moja mbili tatu.
Tukirudi kwenye hoja yako waliokuuliza wako sahihi maana ungekuwa unajua nini Internet usingekuja na hilo suala.
Labda kama inazungumzi local network yako hiyo inafanyika katika maofisi na sehem zingine ila feeder lazima iwe nje yako yaani uwe affiliated na makampuni yanayotao huduma za internet waelewa zaidi watakujuza
 
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ingia kwenye ntandao tafuta ujisomee kuhusu (LAN) Local Area Network na WAN.

Ni vitu vinawezekana. Ni upeo wako tu.

Sky is not "the limit" anymore.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom