Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu za jumapili. Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck. Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
1 Reactions
12 Replies
591 Views
Za jioni wakuu, Napenda kujifunza vitu vipya na kuanzia jumatatu ya wiki hii nimeanza kujifunza programming language ya python. IT sio fani yangu niliyosomea ila nataka nianze kutengeneza...
18 Reactions
155 Replies
24K Views
Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
2 Reactions
5 Replies
890 Views
Habari Wakuu, Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Tajiri namba Moja ulimwenguni Elon Musk amefanikiwa kufungua duka lake la Online store la X kwa sasa duka Hilo linatoa bidhaa chache tu. Anauza T-shirt nyeusi za unisex na kofia ya lori Kila...
2 Reactions
1 Replies
402 Views
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki??? 2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Wataalam naombeni mnisaidie hii simu nimejaribu kuweka Data saver na hata kuinstall zile apps za kudetect dat zinapoenda lakini Bado inakunywa MB. TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati...
3 Reactions
15 Replies
890 Views
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
3 Reactions
99 Replies
9K Views
Hello Guys, hope mko pouwa. Leo nimeamua niwaelekeze namna nyepesi ya kuficha SMS kwa wale wachepukaji ili usije kamatwa Of course kuchepuka ni kubaya, lakini natambua kuna wanaochepuka kwa...
5 Reactions
40 Replies
18K Views
Wakuu ninapojaribu kufungua video kwenye account yangu ya mtandao X, video zinaandika flash back error...je nifanyaje ili nitizame video.?
4 Reactions
20 Replies
1K Views
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 𝗸𝗮𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗽𝗲𝗮𝗸𝗲𝗿 𝘇𝗮𝗸𝗲 Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri 🔊...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Hivi unajua unaweza kuwasiliana na mpenzi wako kupitia ndoto yani mmelala wawili lakini inawapa nguvu ya kufanya mazungumzo kwa njia ya ndoto kupitia usingizi. Wana sayansi kutoka marekani kwenye...
1 Reactions
3 Replies
464 Views
Wakuu kwema Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana. Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana...
1 Reactions
1 Replies
351 Views
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu wa taaluma shule 'Z' nimeenda kumtembelea kazini kwake nkamkuta anakomaa kuingiza alama za Continous Assessment (CA) za wanafunzi wake wa kidato cha nne wapatao...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Niende kwenye mada moja kwa moja, unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni kwanini walifungia window phone? Nakumbuka kuna kipindi nipo shule kuna ndugu yangu mmoja...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction (Change default search engine to ChatGPT search - Official.) Introduction Remember those times when asking ChatGPT a question...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
𝗨𝗺𝗲𝗶𝗯𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼!!! Je umepoteza au kuibiwa simu na unahitaji kulinda data (taarifa) zilizopo ndani ya simu yako. Kuna kitu kinaitwa remote lock unakijua ?? Najua wengi hawajui hii ni...
4 Reactions
1 Replies
688 Views
China Imefungua hospitali ya kwanza yenye kutumia Maroboti Teknolojia ya Akili mnemba (AI) Inazidi kushika kasi ulimwenguni, sasa teknolojia hii imepelekwa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya...
2 Reactions
11 Replies
615 Views
Back
Top Bottom