how to pm someone

the kapex

Member
Feb 4, 2011
35
2
Jamani natamani ku-m pm mtu fulani lakini sijui huwa mnatumia e-mail address au huwa mnatumia nini? na unafanyaje ili uweze ku pm mtu sijui chochote msaada jamani
 
Nilikuwa namaanisha namna ya kutuma private message (pm) nifanyeje
Click jina la huyo unae taka kumtumia halafu click kwenye private message utaona sehemu ya kuandika title na message yenyewe
au jina la kwako kisha futa jina lako kwenye kibox cha users nauandike jina la huyo unaetaka kumtumia....
 
Jamani natamani ku-m pm mtu fulani lakini sijui huwa mnatumia e-mail address au huwa mnatumia nini? na unafanyaje ili uweze ku pm mtu sijui chochote msaada jamani

Ukiangalia juu utaona vitu kama hapa chini .... ...

<LI class=welcomelink>Welcome, Ole settings My profile Notifications: ....................................
Hapo juu kwenye notification kuna triangle ndogo ambayo ulibonyeza utaona kuna mahali pameandikwa Private Messages bonyeza hapo utakwenda moja kwa moja kwenye box la kubadilisha mambo mengi ie profile nk.

Kuna maneno yameandikwa Inbox nk

Bonyeza hiyo in box na utaona kwenye box lako kuna nini ukisoma chini kidogo ya inbox kuna maneno Sent Items
Send new messages

track messages

Edit folders

Bonyeza kwenye Send new messages ... .... .... box lingine litafunguka na kukuuliza unataka kutuma message kwa nani nk ..... fuata maelezo ni rahisi sana ni kama unavyopeleka e-mail nk

BTW nimekutumia hii message kwenye in box yako ... ... .. nijibu ili nifahamu kwamba umefuzu mafunzo. karibu sana
 
0672883431 naomba unitafute mkuu
 
Back
Top Bottom