Wadau wa JamiiForums eti inawezekanaje mtu kutumia mtandao free bila bando...
Kuna wanaosema wanatumia free intanet kwa kufanya ujanja kwa kutumia VPN proxy me nikaona niwashirikishe waungwana...
Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11...
Unakuta simu Ina sifa nzuri ukiangalia nyuma makamera utitiri, yani kipangiliyo kamera nyingi Iko hovyo sana sababu ya kamera nyingi ni nini kama Kuna umuhimu haziwezi kukaa ndani ya camera Moja...
Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology,
Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k...
Je simu yako imeingia maji? Inawezekana ukawa unatembea ghafla simu yako ikaingia maji uko mbali na fundi au vifaa viko mbali utafanyaje?
Okay unajua Teknolojia inazidi kukua kwa Kasi kila siku...
Habari wana JamiiForums,
Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua...
Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante...
Kuna app zaidi ya 50 zimefungiwa nchini Tanzania na benki kuu ya Tanzania ambazo zinatoaga huduma ya mikopo kwa Watanzania kwa mfumo wa kidigitali.
BOT imebaini kuwepo kwa app zinazojihusisha...
Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc.
Kazi hii...
𝗖𝗼𝗱𝗲 𝘇𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼
Zifahamu secret code muhimu ambazo zitakusaidia kuweza kutatua baadhi ya matatizo kwenye simu yako au ya rafiki yako ulizokuwa uzijui kabisa kama...
Kulingana na ripoti ya CDC, inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 60 ya watu wote waliopo duniani hawapati Usingizi wa kutosha.
Kutengeneza mazoea ya kulala kwa wakati kunaweza sababisha kuboresha...
Habari wana JF,
Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje.
Ahsante
𝗭𝘂𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗿𝗲𝗸𝗼𝗱𝗶𝘄𝗮 𝘃𝗶𝗱𝗲𝗼 𝘂𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗼
Kumekua na matukio ya kushangaza kila siku ulimwenguni kuhusu watu kupostiwa video zao za ngono mtandaoni utakuta mume, mke au mpenzi mlikua kwenye...
Habari wadau.
Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X
Asante
Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store'
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store:
- Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu...
Mtu unanunua flagship ya pesa nyingi yenye technology ya kioo kikalii badala ya kuendelea kuenjoy AMOLED au OLED mixer 2200 nits ulivyokua zwazwa unaenda kuweka giza juu yake sijui mnaficha nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.