Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tarehe 19/08/2016 Kampuni ya Samsung imezindua flagship mpya ya Galaxy Note 7, hii ilikuwa ni tarehe ya uzinduzi USA. Mtumiaji wa note 7 atakuwa ni kama ana computer kiganjani. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Naomba msaada hili tatizo limenikuta ni baada ya kugundua kuwa nimepandanisha windows sasa nimeanza upya Ku install nifanyeje au kama Windows zikipandana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni munipe ufafanuzi wa mouse(cursor) kuganda ktk desktop... Kwa mm mwenyewe nilijaribu kubadilisha kila aina ya mouse na kila aina port na pia kutoa virus, kubadilisha window lakini bado...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. Siku ya jananlikua natumia pc yangu kweny internet sasa bahati mbaya ikachange na kuonesha blue huku kuna maandish ya hard drive ikakaa mda sana nkaamua kuizima. Sasa kazi...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Wakuu naomba kuelemishwa juu ya hiki kitu kinaitwa INSTA ADS, zinafanyaje kazi, zinatengenezwaje, na zinawezaje kukuingizia kipato? Yeyote anayefahamu tafadhali...........
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tecno C5 4G Lollipop 5.0 2500mhAm Ram 1GB 8GB int memory 8MP 5inch screen
1 Reactions
34 Replies
20K Views
Habari wanajamiiforum Natumia Huawei Y560 Ipo rooted, nitaweza kuhide jina la mtandao pale kwenye status bar maana linachukuwa nafasi kubwa ambayo ningeweza kuona notification icon za whatsap...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa 11 sasa nimeona niulize kwa wataalam kama naweza vipi kutengeneza kadi za mwaliko na mchango na nizisambaze kwa njia ya WhatsApp maana ndugu na...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Habari JF...ambae ashawai tumia j2 ikoje??? Apart from its known au common specifications e.g 4gb....naomba kujuzwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Fahamu jinsi ya kutuma nyimbo kutoka kwenye Iphone yako nakushare na mtu mwingine kwa watsapp
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ndugu, Nauliza kama Simu za Huawei ascend y300 Inawezekana ku update system? Kama inawezekana ni kwa njia gani kwani kwa njia ya kawaida ukisearch for updates unaambiwa no updates wakati...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Habari za leo ndugu. Nimeunda huu uzi maalumu kabisa kwa ajili ya ku deal na Linux operating sytem. Wataalamu wa hii OS karibuni tubadilishane mawazo na namna ya kuitumia. Zipo distros nyingi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau habari,naomba kujuzwa jinsi ya kuinstall Net Framework ya 3.5 kwenye pc yangu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wataalam naomba mnisadie..nikiweka line ya vodacom kwenye phone ya galaxy note 4 haiko detected kwasababu sipati majina niliyosave kwenye line wala sipati option ya sim card kwenye contacts to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu simu tangu aina ya techno c8 inaniandikia memory full ata kama inaonyesha kuna free space hata mb 200, nini tatizo na nifanyaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa naomba kusaidiwa kujua ni app gsni nitumie ku root simu yangu masna nimejaribu kingroot imegoma, naomba wataalamu mnisaidie
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote, niulize nitakujibu.
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wana jf, Nina simu yangu nokia 2690. Naipenda sana. Ila nilikua na install apps kubwa kubwa inakubali. Nili install opera mini hadi 8.1 ikakubali ila haikuchukua mda ikacollapse, imefuta...
0 Reactions
81 Replies
17K Views
Leo nataka tufanye analysis/ uchambuzi juu ya hivi visimbusi. Ni kipi bora kwa muonekano wa channel??? Kipi kina channel nzuri??? Kipi kina local channel bure bila kulipia?? Kipi kina vifurushi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…