Wakuu kuna simu hapa sumsung s6 inalaini ya halotel kila ukijaribu kucheck/Kuongeza salio au kupiga simu inaleta ujumbe "Phone not allowed MM#6" tusaidiane wakuu jinsi ya kutatua ili tatizo.
Salamu kwenu:
Binafsi si mzoefu ktk kutumia personal computer. Sasa kuna software ya window store iliyokwenye pc yangu.Tatizo kila nikijaribu kuifungua haifunguki....Na badala yake inaniandikia...
iPad,imac,macbook,Apple ipod en iwatch icloud unlock Available remotely world wide 100% working kasoro iphone pia nauza ipad Air 2Wi-Fi ipo katka good condition.0765-096851 Note:Again exept...
Wakuu Kwa yeyote anayehitaji responsive website na database ya kitu chochote kama shule, uhasibu, Rasilimali watu na nk, tupo hapa wataalamu wazoefu kabisa na gharama zetu ni nafuu kabisa piga...
Kwa wale wanaotaka Kufanya biashara ya hosting Pamoja na domain registration, Tunakupa server unlimited kwa gharama nafuu kabisa. Pia tuna design website na system mbalimbali kwa yeyote...
Nimetokea kupenda sana simu zenye projector lakini nataka kujua ni SAMSUNG tu ndio wanatoa hizo simu?? kama kuna kampuni jingine naomba kujua.Nimetumia SAMSUNG galaxy beam i8530 ila sikupenda...
Wakuu na Memberwajuxi mliobobea na mitandao w.w.w. kuna onyo linatembea kwenye Whatsapp kuwa wametoa siku 30 tu watumiaji waje wawe wameondia alama ya tiki katika settings za privacy kuwa hutaki...
Wadau naombeni kusaidiwa jambo moja, Nimejiunga kwenye group mojawapo la whatsap Sasa nahitaji kujitoa na admin asiweze kuniadd Tena, maana kila nikijaribu still na addiwa Tena. Sitaki kumblock...
Heshima kwenu wadau.
Hope mko poa kabisa, nahitaji msaada wenu ili kujua tatizo la hii line ya tigo mbona haisomi kwenye simu wakuu.
Ni line iliyokuwa ikitumika siku zote kwenye simu aina ya HTC...
Habari wakuu, Nina jamaa yangu yupo Canada na anasema kuna simu nzuri na bei yake ni cheap. Ila hizo cheap phone ziko locked na network provider wa huko. Anasema mfano, simu nzuri unaweza kuta ni...