Masada wa fasta unahitajika

Masada wa fasta unahitajika

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,355
Wadau naombeni kusaidiwa jambo moja, Nimejiunga kwenye group mojawapo la whatsap Sasa nahitaji kujitoa na admin asiweze kuniadd Tena, maana kila nikijaribu still na addiwa Tena. Sitaki kumblock admin ila nataka asiweze kuniadd Tena baada ya kuleft.
 
Back
Top Bottom