baba kayla
Member
- Mar 28, 2016
- 78
- 42
Nifanyeje ili niweze kutumia simu yangu na projector kufanya presentation. Je kuna njia yoyote?
hii inapatikana wapi mkuu hizi cable na bei gani pia mpaka tv flat tu ndo unaweza link au hata hizi za kawaida?Tafuta mhl cable kwa ajili ya smartphone yako.. hii itakusaidia hata kulink na tv ya nyumbani kama ni flat na ina hdmi input..