Naomba kufahamishwa, bei ya kutengenezewa App ya blog

Naomba kufahamishwa, bei ya kutengenezewa App ya blog

Mkuu sisi tutakutengenezea app Kwa bei nafuu kabisa, hii app itakuwezesha kushare posts zako free kwenye social groups and pages Bure na Kwa urahisi kabisa, na pia matu atakaeipakua app yako atapata taarifa ya post mpya kupitia simu yako Mara utakapo post. Pia kama utakuwa tayari tutakupa offer ya kukuwepea kwenye playstore account yetu Bure kabisa. Ni kama hii BONGO YETU BLOG

Kwa mawasiliano 0687535650
 
Back
Top Bottom