Habari wanajamii,Nina Simu tajwa hapo juu niliiroot baada ya muda kama masaa 6 nilibadili line na kuweka laini nyingine nilipoiwasha ikagoma kabisa kuwaka tatizo ni nini naomba ushauri au ndio...
Habari wadau, simu yangu ina tatizo lifuatalo. Nikibonyeza namba za kuhitaji huduma mfano *102# badala ya kuomba salio, inapiga. Ni hivyohivyo kwa huduma nyingine ikiwemo kuingiza vocha. Msaada...
Salaam nyote.
Hope mko salama kabisa wadau. Nimeulizwa swali nami naomba kuliwasilisha kwenu wadau wa Technology.
Hivi inawezekana ku-create group la kutumiana message kama la whatsapp lakini...
We need an Android developer to join our team.
If you think you are the one or your relative might qualify, please let them know.
Send us email with the details.
Find attached image for details...
Mwenye keyboard la laptop natafuta keyboard ya laptop Acer kama inavyo onekana kwenye picha anipe bei mawasiliano ni haya Whatsapp na kawaida by no 0715420098
Habari,
Nina simu nimeletewa kutoka South Africa, ila nikiweka laini ya mtandao wowote wa Tanzania inanialetea meseji "Call not Sent" napotaka kupiga simu au kuangalia salio.
Ila kwenye alama ya...
Naomba msaada simu yangu aina ya sony xperia e3 kila napopiga simu display inakuwa dark (ina sleep) na nakuwa siwezi kukata simu au kufanya lolote hata kama hakuna kizuizi chochote karibu na...
Km unashida na acc ambazo ni hosted account ni 25000 tu na pia km unaitaji domain name ni 8000 tu nicheki 0765321403 kwa maelezo zaidi na kujua new tricks.
Wakuu poleni kwa majukumu!
Nina simu hapa ilikuwa nime-instal whatsap kwa kutumia share application(Bluetooth),ikawa iko poa kabisa lakini baadae nahisi ile version ya whatsap ikawa outdated...
Huyu jamaa kila nikitafuta tutor wa visual art hasa mambo ya 3dmodeling kwenye blender ni yeye kwenye CAD ni yeye vipi hapa wenye uelewa wa mambo haya
Justin marshall ???
Habar zenu wadau.
Naomba kujua hii kitu aisee maana nimeshaformat Window 8 kwenye Pc yangu zaid ya mara tano.
Hivisasa nafikiria kununua Antivirus nzuri but wakat nazichanga
Ivi kwa hizi free...