Wataalam mje[/QUOTE
Ingia google au youtube then search "how to permanently delete snapchat account"
Watakuletea tutorial video za maelekezo
WanakujaJF memba mna roho ngumu, hamna anayefaham?
Msaada jinsi ya Ku delete Snapchat account.
Una roho mbayaUmefanya madhambi gani hadi ui delete account
Acha ikutafune

Nikimiss kurusha watu roho ndio naingia Snap naweka video.Tujivunie kuwa na Jamii Forum. Hii Mitandao mingine aina faida yoyote kwa kijana wa kitanzania anaetaka maendeleo
