BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Habari wadau, naomba kuuliza je kwa hapa tanzania kampun gan watalaam wa kutengeneza website/blog. Asanteni.
Cheki private message yako kuna package ya offerUnataka kununua hiyo kampuni au kufanya kazi? Kama unataka kutengenezewa sema ili wadau wachangamkie hiyo fursa.
Karibu Mkuu kwa hitaji lako la website tunatoa webu hosting, webu designHabari wadau, naomba kuuliza je kwa hapa tanzania kampun gan watalaam wa kutengeneza website/blog. Asanteni.
Hehehe Mkuu sasa ndo umeandika nini? Nilidhani unatupia kitu chenye lakin kumbe unatuletea wix ya waisarael huku ukiponda za wengine??? Hutaki kodi ilipwe tz kwa serikali ya Magu ila unataka ilipwe kwa bwana Nyetanyau. Any way sis kazin hatutumii CMS wala templates ni dray codes huku tukiipendezesha interface kwa bootstrap.Achana na kampuni za kibongo hakuna watengeneza website hapa wote wote wanatumia layouts ambazo zimeshatengenezwa na watu
wachek hawa jamaa
Free Website Builder | Create a Free Website | WIX.com
mkuu nimeingia hio site yako ya enviromine umetumia slider za wowslider na themes umedownload zypowebtemplates hujatengeneza kama ulivyoclaim, hakuna neno mtu akitumia CMS au kudownload themes ila wewe nahisi kama unatudanganya.Hehehe Mkuu sasa ndo umeandika nini? Nilidhani unatupia kitu chenye lakin kumbe unatuletea wix ya waisarael huku ukiponda za wengine??? Hutaki kodi ilipwe tz kwa serikali ya Magu ila unataka ilipwe kwa bwana Nyetanyau. Any way sis kazin hatutumii CMS wala templates ni dray codes huku tukiipendezesha interface kwa bootstrap.
Kutengenezewa mkuuUnataka kununua hiyo kampuni au kufanya kazi? Kama unataka kutengenezewa sema ili wadau wachangamkie hiyo fursa.
Umenitumia mimi mkuu??Cheki private message yako kuna package ya offer
Mkuu chief mkwawa seems.unaelewa vizuri nisaidie kupata best ones ambao they can make best website na sample ya kazi zao walizofanyamkuu nimeingia hio site yako ya enviromine umetumia slider za wowslider na themes umedownload zypowebtemplates hujatengeneza kama ulivyoclaim, hakuna neno mtu akitumia CMS au kudownload themes ila wewe nahisi kama unatudanganya.
nimecheki sourcecode za hio site
![]()
jaribu kuangalia hizi kampuni 2 ambazo wameweka na sample za kazi walizoshatengeneza. www.dudumizi.com na www.systemax.co.tzMkuu chief mkwawa seems.unaelewa vizuri nisaidie kupata best ones ambao they can make best website na sample ya kazi zao walizofanya
Asante kiongozi ngoja ntazichekijaribu kuangalia hizi kampuni 2 ambazo wameweka na sample za kazi walizoshatengeneza. www.dudumizi.com na www.systemax.co.tz
Naona mtembea kwa miguu alikua anataka kutuletea uswahili kwenye kazi!!! Wabongo bwana!!mkuu nimeingia hio site yako ya enviromine umetumia slider za wowslider na themes umedownload zypowebtemplates hujatengeneza kama ulivyoclaim, hakuna neno mtu akitumia CMS au kudownload themes ila wewe nahisi kama unatudanganya.
nimecheki sourcecode za hio site
![]()
Duuuh