msaada computer yangu haitoi sauti

msaada computer yangu haitoi sauti

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,047
Reaction score
1,339
Habari wapendwa!

nimerudi tena najua hapa haliharibiki jambo. compyuta yangu aina ya dell nimeinstall window 7 profesinal haitoi sauti.

Naomba mwenye kujua jinsi ya kuirudisha sauti au mwenye driver za sauti anisaidie tafdhar
 
kabla ya kubadili window ilikuwa inatoa sauti?
 
Hapo tafuta CD yake ya drivers uinstal sauti kama huna CD take download tu kwenye net
 
Hapo ni driver tu ya sauti mkuu. Na ili kujiridhisha unaeza ukaenda sehemu ya kusearch na ukatype device manager, ikija hiyo ukicheki kwenye driver za sauti utaona kama kipembe 3 cha njano hivi, ikimaanisha hiyo driver inamiss. So cha kufanya unaeza ukatafuta software moja inaitwa driver pack solution, ni package yenye driver mbalimbali. Ukirun hiyo itaweka hiyo driver ya sauti pamoja na nyingine ambazo zinaweza kua zinamiss baada ya kubadilisha window, most likely driver za network. Au unaeza cheki hiyo specific driver online, but i recommend utumie hiyo driver pack solution
 
yap! ilikuwa na sauti mkuu
ni shida ya drivers za sauti tu, mi si mtaalamu wa computer but wajuzi wameishakuelekeza hapo, ila kama na we ni mwenzangu na mimi basi jaribu hii njia:
*fungua "control panel"
*fungua sehemu imeandikwa "system and securuty"
*fungua sehemu ineandikwa "windows update"
*kwenye options za kushoto, chagua "change setting"
*kwenye drop down menu chagua "install updates automatically"
*connect pc yako kwenye network kwa modem au wifi, then iache kwa kama dakika 5 mpaka 10 au unaweza ukawa unaitumia tu kama kawaida huku mtandao uko ON,drivers zilizomiss zitakuwa zinajidownload na kuji install zenyewe.
 
Hapo ni driver tu ya sauti mkuu. Na ili kujiridhisha unaeza ukaenda sehemu ya kusearch na ukatype device manager, ikija hiyo ukicheki kwenye driver za sauti utaona kama kipembe 3 cha njano hivi, ikimaanisha hiyo driver inamiss. So cha kufanya unaeza ukatafuta software moja inaitwa driver pack solution, ni package yenye driver mbalimbali. Ukirun hiyo itaweka hiyo driver ya sauti pamoja na nyingine ambazo zinaweza kua zinamiss baada ya kubadilisha window, most likely driver za network. Au unaeza cheki hiyo specific driver online, but i recommend utumie hiyo driver pack solution

asante kwa ushauri mkuu, ila ningenda kuuliza tena kwamba kwenye hizo driver pack solution ipi ni best maana nimejaribu kuzisachi kwa softonic lakini zote nilizodownload nikizirun hazikubali mkuu
 
Hapo tafuta CD yake ya drivers uinstal sauti kama huna CD take download tu kwenye net

mkuu naomba pia unielekeze namna ya kuzipata hizo drivers kwenye net maana mm c expert sn kwenye haya mambo
 
asante kwa ushauri mkuu, ila ningenda kuuliza tena kwamba kwenye hizo driver pack solution ipi ni best maana nimejaribu kuzisachi kwa softonic lakini zote nilizodownload nikizirun hazikubali mkuu
Me nliyonayo hapa ina gb km 7 hvi, na ina drivers zote muhimu. Sijajua hiyo uliyojaribu kuicheki ni ipi
 
kwani mkuu hakuna uwezekano wa kuextract na kunitumia inayohitajika
Sio rahisi kama unavyofkiria mkuu. But mbona net inapatikana, cheki latest version and jaribu pia kupitia pitia reviews za watu before you download it. Ukipata kuanzia ya 2014 sio mbaya. Ukishindwa kabisa kupata inayokubali kama upo dar ncheki ntakuwekea tu kiroho safi
 
Back
Top Bottom