Naomba msaada jinsi ya kudownload video games for PC

Naomba msaada jinsi ya kudownload video games for PC

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Habari zenu ndugu,

Nimekuwa nikijaribu kutafuta pc games online, lakini jitihada zangu zimegonga mwamba licha ya kujaribu kudownload kwa kutumia website hizi, kickass.com, skidrowgames.com, download.cnet.net.

Lakini imekuwa vigumu kudownload games naomba mnielekeze mnafanyaje mpakla mnafanikiwa kudownload kama mnatumiaga web hizo nilizozitaja. Ikiwa mnatumia tofauti na hizo ni zipi na hatua za kudownload na process zinakuwaje?

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Kwa upande wangu huwa nadownload kupitia torrent...... Kwanza uwe umeinstall program ya kudownload torrent files kwenye pc yako then

Una search google torrent search engine ukishaingiangia torrent seach unasearch hilo game au kama ni movies kutoka kwenye torrent clients wote zen unaendelea kawaida
 
ahsante mkuu, ila cjakupata vzuri uliposema torrent search engine hii nayo unaidownload au?
 
jaribu hz
1. fullypcgames.net
2. apunkagames.net
3. checkgames4u.net
NB: Kuna baadh ya game files itabd uwe na torrent downloader au download manager yyte
 
ahsante mkuu.... nitajaribu hizi web ulizonipa
 
Habari zenu ndugu,

Nimekuwa nikijaribu kutafuta pc games online, lakini jitihada zangu zimegonga mwamba licha ya kujaribu kudownload kwa kutumia website hizi, kickass.com, skidrowgames.com, download.cnet.net.

Lakini imekuwa vigumu kudownload games naomba mnielekeze mnafanyaje mpakla mnafanikiwa kudownload kama mnatumiaga web hizo nilizozitaja. Ikiwa mnatumia tofauti na hizo ni zipi na hatua za kudownload na process zinakuwaje?

NATANGULIZA SHUKRANI.
Sasa Skidrow sindo nyumban... Anyway chek Oceanofgames.com au Ovagames.com
 
jaribu pia kupitia thread za watu mbali mbali maana kuna wengine wanazo tayar hizo games ni wewe kuwasiliana nao tu wakupe mkuu...
 
wakuu samahani naombeni mnipe process mwanzo mwisho jinsi ya kudownload games kwenye pc core i5 window 10
 
wakuu samahani naombeni mnipe process mwanzo mwisho jinsi ya kudownload games kwenye pc core i5 window 10
process gani unayotaka wewe zaidi kudownload tu na kuinistall. ingia oceanofgames.com.
ila naona windows 10 haina games nyingi. na apps. ukiingia ukishadownload game download na installation video hyo web huwa wanatoa Ina mwongozo wote wa jinsi ya kudownpoad.
 
Back
Top Bottom